OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
-
- #21
kamba hukatikaga pabovu mkuu...Milango bado migumu
Aingie Jamal Mnyate na Mo Ibrahim ndio mabao yatapatikanaAnatoka Mavugo Mchoyo anaingia Blagnon huyu ni bomu kabisa
Ngoma,ngumuMatokeo tafadhali
85Dakika ya ngapi wadau
Simba wamebwetekaHaya watoto watafungwa kama yanga dakika za mwishoni zege halilali jaman lazima ujenge tu
Ngoma draw hiiSubirin bado kidogo tunawaseti ss ivi hiyo ndio simba