barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Imeuma eeh, cha nguruwe ila vitoto 12.Acha uongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeuma eeh, cha nguruwe ila vitoto 12.Acha uongo
Manina zao wamebana wameachia.Bado Kichuya mtata atatupia dakika za nyongeza
Hapana mi msimbazi damu ni mitambo ilinigomea pamoja sanaImeuma eeh, cha nguruwe ila vitoto 12.
Full time:SIMBA 1 MBAO 0SIMBA 4G
Leta data zako za ukweli.Acha uongo
Afadhali maana siku ilikaribia kuharibika mbao hata kama ya mpingo Mnyama anairarua tuuFull time:SIMBA 1 MBAO 0
Chura haaminiHatimae Simba Kairaruwa Mbao Bila Ya Huruma...
Hivi Jamani Kweli Bado Kuna Mtu Ambae Hajaamini Kuwa Simba Ni Bingwa???
Ndio hizo hizo Mkuu nilitaka Ku confirm pamoja mkuuLeta data zako za ukweli.
Wakubebwa aka Yeboyebo bado ana hope lambalamba yeye ameshasalimu amri kwa mnyama aka LunyasiHatimae Simba Kairaruwa Mbao Bila Ya Huruma...
Hivi Jamani Kweli Bado Kuna Mtu Ambae Hajaamini Kuwa Simba Ni Bingwa???
Habari mbaya kwa mkodisho fc a.k.a vyura f.c ...chaneta j.r!!
Wataamini tuChura haamini