OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Leo ni siku nyingine tena kwa Simba SC kujikusanyia alama tatu muhimu na kuendelea kujikita juu kabisa kileleni.Simba ikiwa ni timu pekee ambayo haijafungwa mechi hata moja itacheza na Mbao FC ya Mwanza,jioni ya saa 10 Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam!!Simba ataongozwa na mshambuliaji aliyeshindikana na kuliteka soka la Bongo Shiza Kichuya Magoli.Azam Tv itarusha mechi hiyo live. Baki Hapa,usiondoke
FULL TIME
SIMBA SC 1-MBAO FC 0
MFUNGAJI NI MUZAMIRU YASSIN
NEXT KUUMIZWA NI TOTO AFRICAN, Hawa ni punching bag tu, mlengwa ni Yanga(Masufuria FC)
FULL TIME
SIMBA SC 1-MBAO FC 0
MFUNGAJI NI MUZAMIRU YASSIN
NEXT KUUMIZWA NI TOTO AFRICAN, Hawa ni punching bag tu, mlengwa ni Yanga(Masufuria FC)