Live mahakama ya icc kesi dhidi ya ruto naomba kuuliza....

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,246

Mida hii niko kwenye tv hapa naangalia mambo yanavyo endelea huko kwenye mahakama ya kimataifa ICC huko The huge naona hawa mawakili hupande wa utetezi wamejipanga sana naomba kuuliza hivi Mawakili wetu wanaweza kwenda kutetea kama mtu akiwa na kesi uko,Pili inaruhusiwa hawa mawakili ninaowaona humu kama ninauwezo wa kifedha kuja kutetea kama nikiwa na kesi huko Nchini?
 
1.NDIO...wapo mawakili walobobea ktk sheria za mambo hayo...international criminal law na IHL

2.NIDYO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…