NAPITA
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,077
- 2,246

Mida hii niko kwenye tv hapa naangalia mambo yanavyo endelea huko kwenye mahakama ya kimataifa ICC huko The huge naona hawa mawakili hupande wa utetezi wamejipanga sana naomba kuuliza hivi Mawakili wetu wanaweza kwenda kutetea kama mtu akiwa na kesi uko,Pili inaruhusiwa hawa mawakili ninaowaona humu kama ninauwezo wa kifedha kuja kutetea kama nikiwa na kesi huko Nchini?