Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,712
- 1,910
Wewe ni mgonjwa tumeisha elewa lengo lako, lakini katiba tunayotaka ni ya kudumu kwa maslahi ya taifa.Chama cha siasa kitakachohubiri na kuchochea fujo na vurugu kwa lengo la kufanya Tz isitawalike kifutwe mara moja.
Chama cha siasa kinao muda wa kuishi na kufa kama vile KANU Kenya!!!!