Live match Mbeya City vs Azam njoo hapa upate update ya mechi

Live match Mbeya City vs Azam njoo hapa upate update ya mechi

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Leo kuna mechi kati ya mbeya city na Azam
Ndugu zangu washabiki wa Azam njoo hapa tupeane update kuhusu matukio mbali mbali ya hii mechi

Azam kwa ubora wetu leo naona tunapiga goal nyingi sana hawa watoto wa mbeya

Apo chini ni kikosi cha maangamizi
IMG_20220913_153505.jpg
 
Leo kuna mechi kati ya mbeya city na Azam
Ndugu zangu washabiki wa Azam njoo hapa tupeane update kuhusu matukio mbali mbali ya hii mechi

Azam kwa ubora wetu leo naona tunapiga goal nyingi sana hawa watoto wa mbeya

Apo chini ni kikosi cha maangamizi View attachment 2355564
Kwamba Prince Dube hata Sub hayumo?
 
Hawa azam nyoko sana!
Wanakamia byutibyuti na
Mlete mzungu pekee! Wataikosa hata nafac yao ya tatu wapuudhi hawa
 
Hawa azam nyoko sana!
Wanakamia byutibyuti na
Mlete mzungu pekee! Wataikosa hata nafac yao ya tatu wapuudhi hawa
Tulia mpira haujaisha

Ata wewe yanga mwaka jana hujamfunga mbea city
 
Dakika ya 83 Mbeya City 0 vs Azam 1
 
Dakika ya 85 Mbeya City 0 vs Azam 1
 
Dakika ya 90 Mbeya City 0 vs Azam 1
 
FT: Mbeya City 0 vs Azam 1
Mfungaji ni Idris Mbombo

Azam anaongoza ligi kwa tofauti ya point 1
 
Mchezaji wa Azam Rogers Kola kapigwa shot ya umeme dakika ya 93. Red card
 
Back
Top Bottom