Muulize mbona hawajatekeleza ahadi zao nyingi za 2005, mfano kuunganisha makao makuu ya mikoa yote kwa lami (actually bado hawajaanza kabisa hata kutekeleza Iringa-Dodoma, Dodoma-Arusha-Manyara, Mtwara-Dsm, Mtwara-Songea, Mbeya-Rukwa, Rukwa-Kigoma, Kigoma-Tabora, Tabora-Singida, Tabora-Shinyanga, n.k) je hizi ahadi wanazoahidi watatekeleza vipi? Au ni changa la macho?