Elections 2010 LIVE -Mgombea Mwenza CCM yupo Bukoba

Elections 2010 LIVE -Mgombea Mwenza CCM yupo Bukoba

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,390
Anasema,usalama,maji,elimu itakuwa bomba

anasema bila ccm maendeleo hakuna,

anasema

yupo na mke wake

anasema wanafdunzi watapata vitabu vya kutosha
 
Uwanja wa ndege bukoba utakuwa wa kisasa

kauli mbiu ya kilimo kwanza,itatekelezwa vizuri

pembejeo zitakuiwa za kumwaga

anasema CUF,CHADEMA hawawezi kufanya hayo ni CCM tu
 
Uwanja wa ndege bukoba utakuwa wa kisasa

kauli mbiu ya kilimo kwanza,itatekelezwa vizuri

pembejeo zitakuiwa za kumwaga

anasema CUF,CHADEMA hawawezi kufanya hayo ni CCM tu

Muulize mbona hawajatekeleza ahadi zao nyingi za 2005, mfano kuunganisha makao makuu ya mikoa yote kwa lami (actually bado hawajaanza kabisa hata kutekeleza Iringa-Dodoma, Dodoma-Arusha-Manyara, Mtwara-Dsm, Mtwara-Songea, Mbeya-Rukwa, Rukwa-Kigoma, Kigoma-Tabora, Tabora-Singida, Tabora-Shinyanga, n.k) je hizi ahadi wanazoahidi watatekeleza vipi? Au ni changa la macho?
 
Anasema kusafiri kwa tax kutoka dar hadi bukoba litakuwa jambo la kawaida,

anasema umeme vijijini kama kawaida iwapo ccm itachaguliwa
 
Amemaliza hotuba yake

lakini hakutoa fursa ya kuulizwa maswaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kwa yale aliyosema

haya ndiyo matatizo ya wagombea wengi tanzania

kwa nini hawakubali kuulizwa masawali
 
Back
Top Bottom