Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,973
- 9,572
Wananchi wapo wengi, wamehamasika na maelezo yanayoendelea kutolewa.
Mapendekezo ya chama katika tume ya uchaguzi ni kwamba Tunataka kuwe na tume huru ya uchaguzi, na Tanganyika Law Society pamoja Zanzibar Law Society waunganishwe kama sehemu ya tume huru ya uchaguzi.
Ibara ya 184. Chama inapendekeza kuwa iongezwe ibara ndogo ya tisa kuwa Wasimamizi wa tume wasiwe watumishi wa serikali (mfano mtendaji)