Muda huu timu ya Mbowe, Mnyika na Lissu wanatanga Shinyanga, huu mwaka Magamba lazima yatoke....
Kuna kijana moja amependekeza mtu mwenye umri wa miaka 18 agombee urais, umati wote umemkataa.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Huo utaratibu wa Chadema wa kuwapa nafasi wananchi kutoa mawazo yao juu ya uboreshaji wa rasimu ya katiba ni mzuri sana kwakuwa wananchi ndio wenye maamuzi ya mwisho na mustakabali wa nchi yao. Tofauti na maccm yanatembea kila pembe ya nchi na kufanya mikutano ya ndani na wanaccm wenzao na kiuwaandikia nini cha kwenda kuzungumza kwenye mabaraza ya katiba ambayo mengi ni yale ambayo hayakubaliki na watanzania wengi.
Huyu bwana Mabere amejiweka kando muda mrefu kutokana na frustrations za NCCR. 2015 tunamhitaji, kama siyo Rorya, basi jimbo atakoloona linafaa hasa DSM.Mabele anasema serikali ya mafisadi imeweka mikataba feki katika makampuni makubwa na sasa ni dhama ya uwazi na haya yote Warioba ameweka haya ktk rasmu ya katiba. Na sisi kama CDM tunaiunga mkono rasmu hii.