Live Ndani Ya Bongo Radio

Live Ndani Ya Bongo Radio

Status
Not open for further replies.
Pouwaa Pouwaa Mazee YE, karibu Sana.
 
Mkuu Geeque,

Nakupata poa sana huku India mkuu.Vitu vizito sana mkuu,next friday usisahau pia vitu vya African Stars. Baab kubwa!
 
Safiiiiiiii sanaaaaaaaaaaaa ndugu, yani nakata utafikiri niko mango garden wee acha tuu. Asante.
 
Nyie wabongo wa chi town na hiyo radio yenu
Mbona hamjabandika picha za harusi ya mshkaji??Tuliibuka kwenye mnuso ma snap ya kumwaga lakini hatukuyaona mpaka leo.Noma washkaji!!!!
 
Ahsanteni wote kwa ku-tune in siku ya leo. Mambo yanaendelea hapa 24/7 muziki mzito ndani ya Bongo Radio. Ahsanye YE, Ben, Lorain, Mlalahoi na wengine wote.

Mtarajiwa,
Unazungumzia picha za harusi ya H? hahahaha hakuna noma tutazipandisha ndani ya website, ngoja niwasiliane nao.
 
Poa mkuu fanya mambo,nazisubiri kwa hamu
 
Leo nakula Mitwango,ha ha haaa.Birthday yangu leo iko sawa sawaaaa!
 
Mazee Geee!

Longtime vipi bros? Niko njiani mkuu nitayarishie mambo ya wazee wa mujini huko, nitakutwangia soon!

Otherwise, saaafi sana tupo pamoja hapo!

FMES!
 
Mazee Geee!

Longtime vipi bros? Niko njiani mkuu nitayarishie mambo ya wazee wa mujini huko, nitakutwangia soon!

Otherwise, saaafi sana tupo pamoja hapo!

FMES!

Mazee FMES long time mazee, mambo vipi huko? Wewe nistue tu anytime si unajua tena. Hapa mambo motomoto kama Kawa!
 
Mazee vipi old school session...? dah! nimei miss sana...

Kuna mguu wa mbuzi nataka nichome lakini bila ol school hautanoga...lol
 
Mazee vipi old school session...? dah! nimei miss sana...

Kuna mguu wa mbuzi nataka nichome lakini bila ol school hautanoga...lol

Mazee unajua kweli itabidi tufanye old school session, ngoja nicheki ratiba halafu nitakustua ili uchome mguu wa mbuzi huo. Tena ninazo nyingi mno sasa yaani ni babkubwa.
 
Mazee unajua kweli itabidi tufanye old school session, ngoja nicheki ratiba halafu nitakustua ili uchome mguu wa mbuzi huo. Tena ninazo nyingi mno sasa yaani ni babkubwa.

Pouwa basi we angalia ratiba yako halafu nistue...
 
Mimi ugonjwa wangu zilipendwa nilikuwa sikosi kipindi cha zilipendwa RTD. Ilikuwa siendi popote mpaka kimekwisha 🙂

Mazee Bubu Kesho siku ya Ijumaa nitakuwa na LIVE show kwa ajili ya Zilipendwa na itaanza saa nane mchana (2:00pm CST) kwa hiyo karibu sana ndani ya Nyumba.

Mazee Nyani hakuna noma tutafanya Old School Session kesho pia mida ya jioni kuanzia saa moja (7:00pm CST)
 
Aminia, yaani nakukamata chicha mbaya, full respect!
babu ebu nining'inizie lile korabo la mheshimiwa temba na ray c (forget the name).
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom