Live Ndani Ya Bongo Radio

Live Ndani Ya Bongo Radio

Status
Not open for further replies.
Qm na wewe unakuwa slow...anyways hii kitu anajua GQ atakuja kumalizi mwenyewe....wee unaongelea ile club ya south side karibu na 60 something?...wanakuwaga na stripper sa nyingine..kuna this one time rafiki zangu walikuwa wanataka kutoka kila club dt ilikuwa imejaa wakati ule ilitokea ile soo ya ile club watu wakaumia sana (nimeshasahau jina la club duh nakuwa na short memory siku hizi) anyways nikawaambia kuna this club south side nikawapeleka bwana kulikuwa na stripper siku hiyo oloo mademu wacha waanze kupiga kelele na kutaka kuondoka kumbe nilisahau siku hiyo nilitoka na "bwana asifiwe"...

Yeah ndo hiyo hiyo. Nakumbuka enzi za ujana, mimi na mshikaji wangu (you know who), tulikuwa tunaanzia Wild Hare, halafu tunakwenda kwenye ile Club ya South Side, na mwisho tunamalizia kwenye basement moja hivi huku huko South Side kwenye party ya wa-Belize. Sijui kwa nini uzee umeingia haraka hivi.....gademu!!
 
Qm Kama umekaa chicago basi utakuwa 3 of the people i know walikuwa chicago na sasa wamehama....hahaha kama siyo A utakuwa B na hawa wote walikuwa wana hang na M though M karudi Bongo....Maana these 2 walikuwa watu wa kujirusha.
 
Ha ha haa I guess inabidi niondoe "you know who" kwa sababu nilifikiri unajua, kumbe hujui....

Hapana mimi sio A, B, wala M.
 
Ha ha haa I guess inabidi niondoe "you know who" kwa sababu nilifikiri unajua, kumbe hujui....

Hapana mimi sio A, B, wala M.

Ooh well basi wewe inaelekea hujakaa chicago ila unakujaga kutembea maana mimi mayor wa chicago ungekuwa unaishi hapa ningekujua for really..
 
Ooh well basi wewe inaelekea hujakaa chicago ila unakujaga kutembea maana mimi mayor wa chicago ungekuwa unaishi hapa ningekujua for really..

Hujakosea...mimi nilikuwa nakujaga ku-hang tu hapo.

Anyway, naona tumeharibu mada. Hii mada ni ya maombi ya zilipendwa kwa bongoradio. Tafadhali turudi huko.

Mazee hivi una ile ngoma ya taarabu ya "ewe njiwa ewe njiwa, njiwa peleka salamu. Kwa yule kwa yule, wangu wa moyoni" Sikumbuki ni bendi ya taarabu gani iliimba, ila ilikuwa inanikosha sana kila nikiisikia. Maana ile sauti ya yule dada ni balaaa.
 
Dj becks zimepanda kilivyo na hisia zangu zinaniambia old school taaarabu ndio itakosha roho yangu, naomba "Nahodha" (ni bi shakila huyu au?) tafadhali
 
hahahahahha Najikopa Mwenye na QM hakuna noma nitawapigia maombi yenu hayo wazeee.

Nyani,
Mazee leo itakuwa mambo matamu sana yaani Old School kwa kwenda mbele. Aisee yaani nyama choma hiyo duh bomba sana !!
 
dj mie naanza kula iceream sasa maana nimesubiri taarabu mbaka nimechoka, stimu inanzaa kukata-kata. "nahodha" plzzzzz
 
dj mie naanza kula iceream sasa maana nimesubiri taarabu mbaka nimechoka, stimu inanzaa kukata-kata. "nahodha" plzzzzz

Najikopa kuna file fulani nazitafuta hapa mazee lakini maombo yako yanakuja na full force usiwe na wasiwasi.
 
Haaaa mazee GQ, hapo mahala pake kabisa. Shukrani
 
Wazeee QM na Najikopa Mwenye Ahasanteni sana kwa kuwa nami kwenye LIVE Show.

Kuanzia saa moja (7pm CST) leo tutakuwa na Old School Session kali sana yaani zile za long time.
 
Ni Old School Tupu Hivi Sasa !! Holla !!
 
NN no you didn't just ask for that song...lol

GQ una zile debe mbili za Monie Love - It's shame, born-to-breed, na Monie in the middle?
 
NN no you didn't just ask for that song...lol

GQ una zile debe mbili za Monie Love - It's shame, born-to-breed, na Monie in the middle?

Mazee ngoja nicheki hizo dude, usiwe na wasi wasi. Pouwaaa !!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom