Ahsanteni wote kwa ku-tune in siku ya leo. Mambo yanaendelea hapa 24/7 muziki mzito ndani ya Bongo Radio. Ahsanye YE, Ben, Lorain, Mlalahoi na wengine wote.
Mtarajiwa,
Unazungumzia picha za harusi ya H? hahahaha hakuna noma tutazipandisha ndani ya website, ngoja niwasiliane nao.
Mazee Geee!
Longtime vipi bros? Niko njiani mkuu nitayarishie mambo ya wazee wa mujini huko, nitakutwangia soon!
Otherwise, saaafi sana tupo pamoja hapo!
FMES!
Mazee vipi old school session...? dah! nimei miss sana...
Kuna mguu wa mbuzi nataka nichome lakini bila ol school hautanoga...lol
Niko LIVE hapa ndani ya Bongo Radio kuanzia hivi sasa saa 12:28 pm CST, Karibuni Wote na Maombi ya Nyimbo yanakaribishwa. Ingia Hapa Bongo Radio--Tanzania Best Radio for Bongo Flava, Zilipendwa, Muziki Wa Dansi and African Music
Mazee unajua kweli itabidi tufanye old school session, ngoja nicheki ratiba halafu nitakustua ili uchome mguu wa mbuzi huo. Tena ninazo nyingi mno sasa yaani ni babkubwa.
Niko LIVE hapa ndani ya Bongo Radio kuanzia hivi sasa saa 12:28 pm CST, Karibuni Wote na Maombi ya Nyimbo yanakaribishwa. Ingia Hapa Bongo Radio--Tanzania Best Radio for Bongo Flava, Zilipendwa, Muziki Wa Dansi and African Music
Mimi ugonjwa wangu zilipendwa nilikuwa sikosi kipindi cha zilipendwa RTD. Ilikuwa siendi popote mpaka kimekwisha 🙂