Live: Nusu fainali ya challenge cup

vikosi vipo uwanjani sasa, Tanzania bara(tanganyika vs uganda)
 
Wananchi naona wamejaa leo, juma jabu naona kaumia.
 
Kwa ujumla kili staz wanacheza vizuri....gooooli Mrisho Ngasa!
 
Kili staz wanacheza vizuri sana leo!
 
makosa ya kipa wa Uganda haya ..kili moja wanaongoza
 
Dah kipofu kaanza kuuona mwezi..sjui ndo mpk mwisho sjui temporarily!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…