Kweli kabisa na inaonekana alishakufa.
Mkuu nadhani busara ni kujipanga kwa kuandaa vijana wapya na kuweka long term plan na sio hivi kukurupukia mashindano tu matokeo yake aibu kila siku....vinginevyo kutawala soka la hata ukanda huu wa east africa ni ndoto....unajua imefikia hatua ambayo kuwepo uwanjani ni kujitafutia ugonjwa wa moyo bure.Mh! Bongo lini sisi tutakuwa wababe wa Soka ukanda huu
Dah!! Hii laana itaisha lini. Tusubiri nafasi ya tatu!
swahiba.......... hakuna cha mia wala jiti, hao mafala wa kilimanjaro tuwape za uso tuMpira bado haujaisha. Mia
Amazing win for the Cranes! And they will now meet neighbours Rwanda in the final on Saturday. The Cranes had to leave it late but the performance of the team will definitely delight Bobby Williamson