Live: Nusu fainali ya challenge cup

Live: Nusu fainali ya challenge cup

Mpira umekwisha Uganda wanaenda fainali, Tanganyika bye bye...
 
Dah!! Hii laana itaisha lini. Tusubiri nafasi ya tatu!
 
JULIO, ADEN RAGE NA CRUSHWISE WANAWAKIMBIA WAANDISHI WA HABARI. hahahaaa...!!. Mia
 
Pole sana watanzania wenzangu, ndio hivyo tumeshindwa kutetea ubingwa. Timu ijiandae angalau tuambulie mshindi wa tatu
 
Mh! Bongo lini sisi tutakuwa wababe wa Soka ukanda huu
Mkuu nadhani busara ni kujipanga kwa kuandaa vijana wapya na kuweka long term plan na sio hivi kukurupukia mashindano tu matokeo yake aibu kila siku....vinginevyo kutawala soka la hata ukanda huu wa east africa ni ndoto....unajua imefikia hatua ambayo kuwepo uwanjani ni kujitafutia ugonjwa wa moyo bure.

 
Amazing win for the Cranes! And they will now meet neighbours Rwanda in the final on Saturday. The Cranes had to leave it late but the performance of the team will definitely delight Bobby Williamson
 
hivi ndivyo tulivyomalizia miaka 50 ya kichwa cha mwendawazimu, sasa tuanze mingine labda tutaanza kivingine.
 
Dah!! Hii laana itaisha lini. Tusubiri nafasi ya tatu!

sio laana, ndio kiwango. Yamkini ni wakati kubadilisha utaratibu wa jinsi timu ya taifa inavyopatikana. Kweli taifa la watu milioni 40 na zaidi tumeshindwa kupata watu wenye vipaji zaidi ya hivi tunavyoviona?
 
Hatutaki tena Challenge ifanyikie hapa Tanzania maana wame2fanya shamba la Bibi hawa Cecafa
 
Amazing win for the Cranes! And they will now meet neighbours Rwanda in the final on Saturday. The Cranes had to leave it late but the performance of the team will definitely delight Bobby Williamson

Nawaombea Wanyarwanda wachukue ubingwa
 
Back
Top Bottom