Live: Nusu fainali ya challenge cup

Hivi mpira ni wa moto kwa Watanzania tu?Mbona Uganda hawauogopi,wanautuliza na kuuchezea kwa kujiamini?Sisi ni juu kwa juu,mbele kwa mbele...sina haja na kombe la CeCafa,nataka kuona mchezaji wa Kitanzania akicheza vizuri na kuchukuliwa na klabu za Afrika kusini,Sudani na hata Ulaya kama ilivyo kuwa kwa Samatta,simba walifungwa lakini kwa kuonesha confidence on the ball alichukuliwa na Mazembe...
 
Uganda wanaanza kushambulia..
 

kiwango duni siye
 

Kweli kili staz hawauchezei mpira kama waganda... Nditi kakosa goli hapa!
 
Dk 5 za nyongeza!
 
Kuna winga wa uganda huku kushoto anasumbua sana!
 
Kaseja kadi ya njano kwa kupoteza muda!
 
Radio kama inadanganya TV inaonyesha kingine TB Radio inatangaza kingine kabisa huenda ipo nyuma sana
 
Mwaipopo anagangwa wao wanasema mrisho ngasa anakabana na warusimbi
 
Its half time..Taifa starz wamecheza vizuri sana especially kwenye defence.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…