ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,938
- 6,942
kaonekana kaliua anasafiri kwenda kwao
kwao kigoma, nchi yenye vipaji vya sanaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kaonekana kaliua anasafiri kwenda kwao
He is not siriaz, dk ya 30 kupoteza muda!
Lakini leo nanona Kaseja anajitahidi sana!kaseja ni gamba kama wewe. dakika ya 30 unapoteza mda? badala ya kuwahamasihsa wachezaji wake kutafuta la pili, analala tu
TBC Taifa redio, liive hapa:- TBC TAIFA RADIO
Hivi mpira ni wa moto kwa Watanzania tu?Mbona Uganda hawauogopi,wanautuliza na kuuchezea kwa kujiamini?Sisi ni juu kwa juu,mbele kwa mbele...sina haja na kombe la CeCafa,nataka kuona mchezaji wa Kitanzania akicheza vizuri na kuchukuliwa na klabu za Afrika kusini,Sudani na hata Ulaya kama ilivyo kuwa kwa Samatta,simba walifungwa lakini kwa kuonesha confidence on the ball alichukuliwa na Mazembe...

dah, siasa hadi kwenye soka?