Ndio zao wanapenda kula vya gizani!
Kweupe hawawezi! Hata babu yao kala winga!
Oooh mara mdahalo hauna umuhimu, atajibu nini akiulizwa amefanya nini miaka 5 iliyopita?
.
Mkulu anaogopa kuulizwa maswali ambayo January Makamba hajayapitia na kumwandikia majibu.
Kama mdahalo wenyewe maswali yatatumwa kwake wiki moja kabla basi yuko yayari kushiriki.