Elections 2010 LIVE ON TBC1: Mdahalo wa Wabunge - Jimbo la Arusha

Elections 2010 LIVE ON TBC1: Mdahalo wa Wabunge - Jimbo la Arusha

MWISHO WA MATANGAZO.

Naomba thanks kwenye kila post toka kwa wafuatao:
Semilong Mgalanjuka King of Kings Mkandara 3D. Kiby Masesa Eliphaz the Temanite Alind

Haaa haaa
 
It was nice updating all of you Wakuu wa JF.

Alamsiki.
 
Wakuu zangu mbona hawa wagombea wote wanajibu jinsi wanavyopfikiria wao yaani kipi kibaya au bora kimetendeke au kingetendeka?. Kwa nini wasizungumzie mipango ambayo tayari wanayo wao kuhusiana na hoja iliyowekwa.

Kwa mfano Utalii:- Wazungumzie mfumo uliopo chini ya Utawala wa CCM kwa mapungufu yake kadhaa ambayo ni haya blaa blaa blaa na yamepoleta athari hizi na zile. Hivyo Wananchi wakinipa kura zao chama changu kina mipango hii na hii. Nitafanya yafuatayo, kwanza blaa blaa blaa ambacho tunategemea kutumia kiasi kadhaaa zitakazo toka sehemu kadhaa ili kuboresha sekta hiyo kwa muda wa miaka kadhaa. Kwa kufanya hivi tutaikuza sekta hiyo kutoka makusanyo ya pato kiasi kadhaa hadi kufikia kiasi kadhaa na pia wananchi wataweza kufaidika hivi na vile..

Yaanii mjadala mzima uwe kama picha a Blueprint ya chama na mgombea wake wanataka kufanya nini tofauti pindi wakipewa dhamana ya kuongoza badala ya kusema tu barabara inayopita mbugani haifai inakimbiza wanyama. Wewe ukipewa utafanya nini zaidi ya kuifunga ikiwa swali ni kuongeza utalii Arusha..
 
CHADEMA na TLP wanatisha?

CCM wameingia mitini?

YES: Nadhani mtanange kwa arusha ni TLP, CHADEMA na CCM.

Sijui kwa nini CCM hawajaja.

Ila maswali ya mambo ya mazingira yalikuwa mengi
 
MWISHO WA MATANGAZO.

Naomba thanks kwenye kila post toka kwa wafuatao:
Semilong Mgalanjuka King of Kings Mkandara 3D. Kiby Masesa Eliphaz the Temanite Alind

Haaa haaa

.
Ha ha haaa, Superman bana...
Thanks zangu zikufikie ktk kila post yako.
Well done greathinker!!
 
Hajiwezi ndo mana kasepa kwani ashazoea kubebwa...............
 
Batilda amekimbia? Ameogopa kujidhalilisha. Hana majibu ya msingi... in fact, HANA SERA!

CCM yote vilaza!
 
haya majibu ya maswali naona kama walikuwa wanafikiria tu wenyewe na kujibu.hiviv hawana mikakati?
 
Mgombea wa CCM alikuwa wapi jana...!!
Milio jirani na Arusha mtujuze.....!
 
Mgombea wa CCM alikuwa wapi jana...!!
Milio jirani na Arusha mtujuze.....!

Ikiwa rahisi wake Kiwete anaogopa na kukimbia midahalo, kaangalia yaliyotokea Ubungo na Vunjo, unategemea yeye Buriani afanyeje, na ukishikilia kuwa kazoea kubebwa!! :mad2:
Ni mbio tu.........
 
Wakuu kuna swali aliulizwa Lema wa CHADEMA na mwana mama mmoja kuhusu kushiriki kumpeleka Diwani wa TLP Sombeti CCM lakini mtangazaji akakataza Bwana Lema asilijibu.

Hii dhambi ya kuujumu upinzani kwa faida za kiuchumi itaendelea kumwandama Lema maisha yake yote.
 
alinifurahisha yule wa democrasia makini.yule jamaa bogas kinyama

anacheka chekaq tu
 
Back
Top Bottom