Live Orientation: kwa wale wa UDSM

pole hapo hutoki tena penda kua mwalimu tu
 
choosen me nlikua naomba kujua kutoka kwako kuhusu hii course BA in economics ya apo ud coz nasikia kua department yake sio nzur na wanabana sana maksi cjui kuna ukweli ndani yake
UDSM hakuna kozi au Idara rahisi.Urahisi utaufanya wewe kwa kuweka bidii na kujituma zaidi. Usikose vipindi mkuu.Nidhamu iwepo kwa Wahadhiri na wengineo.Utafanya vyema sana.Asante
 
Kiujumla,huo ni msimamo wa chuo kwasasa.Waweza kubadilika ikibidi.Lakini msimamo huu una manufaa.Ni kwasababu wote wa Elimu wanapata mkopo asilimia 100.Pia hii ni sera ya Serikali kuongeza idadi ya walimu. Njoo kwanza ukijiandaa kwa lolote
 
UDSM hakuna kozi au Idara rahisi.Urahisi utaufanya wewe kwa kuweka bidii na kujituma zaidi. Usikose vipindi mkuu.Nidhamu iwepo kwa Wahadhiri na wengineo.Utafanya vyema sana.Asante
mh hapo umenidanganya ile ya kucheza kiduku na kupewa cousewk ni ngumu ile
 
Kiujumla,huo ni msimamo wa chuo kwasasa.Waweza kubadilika ikibidi.Lakini msimamo huu una manufaa.Ni kwasababu wote wa Elimu wanapata mkopo asilimia 100.Pia hii ni sera ya Serikali kuongeza idadi ya walimu. Njoo kwanza ukijiandaa kwa lolote

acha kumdanganya dogo mwambie tu ukweli kwamba hawezi kubadili uswahili wa nini?
 
Kiujumla,huo ni msimamo wa chuo kwasasa.Waweza kubadilika ikibidi.Lakini msimamo huu una manufaa.Ni kwasababu wote wa Elimu wanapata mkopo asilimia 100.Pia hii ni sera ya Serikali kuongeza idadi ya walimu. Njoo kwanza ukijiandaa kwa lolote

Sawa Mkuu.. Nafikiri nitajaribu zaidi nikifika hapo
 
ANY IDEA KUHUSU DUCE..make me nimepangwa mbal na natoka mbal mikoan,je hostel vp?
 
Wapi wadau wa college of natural and applied science(conas) chemistry department..???
 
Kwa mwaka wa kwanza wote ambao mwaka huu wataitwa 'Tindikali' kama sisi tulivyoitwa 'Tsunami' mwaka 2005,wanaweza kuniuliza jambo lolote kuhusu UDSM ilimradi tu liwe la kumjenga na kumuimarisha muulizaji.

Karibuni!

Nisaidie kuhusu industrial eng ipo vp hapo UD kuhusu msuli wake, na ajila zake kwa ujumla, na kama nikipata mkopo daraja A ,nijiandae na sh. Ngap za kuja nazo hapo? Msaada bro
 
Kwa mwaka wa kwanza wote ambao mwaka huu wataitwa 'Tindikali' kama sisi tulivyoitwa 'Tsunami' mwaka 2005,wanaweza kuniuliza jambo lolote kuhusu UDSM ilimradi tu liwe la kumjenga na kumuimarisha muulizaji.

Karibuni!

umesoma udsm mwaka 2005 kipindi icho CASS,UDBS,SOED hazikuwepo,,hujui lolote wewe,,map ya udsm 2005 na map ya sasa ilishachenj,kuanzia hayo majina TSUNAMI,cjui katrina,hayatumiki cku izi,by ze way unapajua NEW YORK CITY ukiwa udsm??
 
Kwa mwaka wa kwanza wote ambao mwaka huu wataitwa 'Tindikali' kama sisi tulivyoitwa 'Tsunami' mwaka 2005,wanaweza kuniuliza jambo lolote kuhusu UDSM ilimradi tu liwe la kumjenga na kumuimarisha muulizaji. Karibuni!
hiv mkuu Kwenye ile medical fee Kwa wale ambao tunatumia Bima ya Afya itakaaje hapo?
 
Nenda mtandao wa udsm utapata yote kwenye announcements. Swala la bima ya afya limeshaelezwa someni kwa umakini kama mtu anayeenda kusoma chuo
 
Thank u sana...kwaiyo kama hamna nafasi siwezi kuama
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…