majuto mperungu
JF-Expert Member
- Jul 20, 2012
- 394
- 118
pole hapo hutoki tena penda kua mwalimu tuMkuu mimi nimechaguliwa Education na ninataka kubadili sasa kuna tangazo wanadai wale wa Education hawaruhusiwi kuhama kozi. Je hii ilikuwepo miaka yote au imeanzia kwetu? Je Inawezekana ikawa ni njia yakupunguza wingi wa maombi ila wanaruhusu chinichini?