Live Orientation: kwa wale wa UDSM

Vp mkuu wameshapanga majina kwa ajili ya acomodation????

itakua weishapanga,maana hata cc kwenye account zetu za aris kile kipengele cha application for accomodation kimefungwa tangu last week,that means hawapokei maombi tena.
 
Komaa hukohuko Edn, hakuna presha na GPA utapata ya kumwaga tu, ajira huna cha intaview full kujiachia mkuu.
 
itakua weishapanga,maana hata cc kwenye account zetu za aris kile kipengele cha application for accomodation kimefungwa tangu last week,that means hawapokei maombi tena.
Kwaiyo kuna uwezekano wakawa wamebandika majina chuo au?
 
Dogo wito wa ualimu umekutoka?
 
Cha msingi kwa hao mwaka wa kwanza ni kujipanga maana shule ya huku si sawa na ile ya Sekondari, shule ya huku si ya lelemama!
 
kama utakuwa dem sawa lakn km ni wakiume haina haja,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…