Live Orientation: kwa wale wa UDSM

Live Orientation: kwa wale wa UDSM

Vp mkuu wameshapanga majina kwa ajili ya acomodation????

itakua weishapanga,maana hata cc kwenye account zetu za aris kile kipengele cha application for accomodation kimefungwa tangu last week,that means hawapokei maombi tena.
 
Mkuu mimi nimechaguliwa Education na ninataka kubadili sasa kuna tangazo wanadai wale wa Education hawaruhusiwi kuhama kozi. Je hii ilikuwepo miaka yote au imeanzia kwetu? Je Inawezekana ikawa ni njia yakupunguza wingi wa maombi ila wanaruhusu chinichini?

Komaa hukohuko Edn, hakuna presha na GPA utapata ya kumwaga tu, ajira huna cha intaview full kujiachia mkuu.
 
itakua weishapanga,maana hata cc kwenye account zetu za aris kile kipengele cha application for accomodation kimefungwa tangu last week,that means hawapokei maombi tena.
Kwaiyo kuna uwezekano wakawa wamebandika majina chuo au?
 
Mkuu mimi nimechaguliwa Education na ninataka kubadili sasa kuna tangazo wanadai wale wa Education hawaruhusiwi kuhama kozi. Je hii ilikuwepo miaka yote au imeanzia kwetu? Je Inawezekana ikawa ni njia yakupunguza wingi wa maombi ila wanaruhusu chinichini?
Dogo wito wa ualimu umekutoka?
 
Cha msingi kwa hao mwaka wa kwanza ni kujipanga maana shule ya huku si sawa na ile ya Sekondari, shule ya huku si ya lelemama!
 
kama utakuwa dem sawa lakn km ni wakiume haina haja,
 
Back
Top Bottom