Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Dakika ya 65 Arsenal 3 Newcastle 0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dakika ya 65 Arsenal 3 Newcastle 0
Nauangalia sina hata pressure 🙂. Kushinda kuna raha yake!
Kamanda,Mpira umeisha tumeshinda 3 bila naona ligi ndo tumeianza...kushinda kuna raha yake jamani
Kamanda,
Hivi kulikuwa na ulazima gani wa kufungua bandiko jipya kwa timu ya Asenali? Kuna bandiko la Asernal ambalo lipo hapa zaidi ya mwaka mmoja!! kwa nini usiweke bandiko hili katika thread hiyo`?