Live: Sasa hivi hadi raha: Magufuli umerudisha heshima volume 1

Live: Sasa hivi hadi raha: Magufuli umerudisha heshima volume 1

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Niko bega to bega na wewe lazima nikutumie hela ya bia mwambie nimemtukana sana lakini lazima nimlipie 10000 ya balimi mimi ndo mimi mtaani kwetu nawakilisha peke yangu mtaani.
 
2b9c8608334d1afaf21ac39b64ba3354.jpg
 
Niko bega to bega na ww lazima nikutumie hela ya bia.mwambie nimemtukana sana lakini lazima nimlipie 10000 ya balimi ..mimi ndo mimi mtaani kwetu nawakilisha peke yangu mtaani
Naskia balimi inaongeza nguvu za kiume ni kweli?
 
Naona unashindana na Diamond kutafute viewer. Diamond YouTube ww JF
 
Dalili moja wapo ya kuchanganyikiwa hii
 
Hata dunia ipinduke juu chini wote hatuwezi kuwa na hali moja, tupambane tu na hali zetu..dhamira nzuri ktk utekelezaji wa kikatili kabisa......mwisho wa siku tafsiri ya maisha inatimia
 
Back
Top Bottom