Myingine ni kama nyumba ya kawaida tu, humo ni members only. Wengine wanashauriwa kwenda a marriage councillor ku spice up marriage kama kuna hatari ya kuachana.
Wazungu wana vituko sana.
Una maanisha kweli au unatania ?Hakuna wazungu hawakua na tamaduni hizo, ni utandawazi tu wa siku hadi siku.
Kama tunavowafata nyuma katika technology ya mawasiliano,
Pia twafaa kuwafata kwa swala hilo, ili kuimalisha ndoa za kitanzania.
Video za Gwajima achana nazo. Wazungu wanakuwa na theatre kama jumba la cinema. Kitanda kinawekwa chini na mwanaum na mwanamke wanafanya tendo live.
Watu wanalipa pesa nyingi kwa show hizo na husaidia kujenga na kuimarisha ndoa.
Watu wa Dar msipoangalia mtazihitaji.
Mimi sijawahi kuingia kwenda huko, tuekeze vizuri sasa.Hizo live sex shows wala huwa si za gharama kubwa, ni viingilio vya kawaida sana ila humo ndani wanakupata kwenye vinywaji na snacks.
Once in a while huwa si mbaya kwenda kupiga macho.
Video za Gwajima achana nazo. Wazungu wanakuwa na theatre kama jumba la cinema. Kitanda kinawekwa chini na mwanaum na mwanamke wanafanya tendo live.
Watu wanalipa pesa nyingi kwa show hizo na husaidia kujenga na kuimarisha ndoa.
Watu wa Dar msipoangalia mtazihitaji.
Some just go for fun.Hapana hata kwenda siwezi. Niliona kwenye gazeti wameandika. Wengi wanokwenda huko wanakua wamepoteza kabisa hisia za tendo.
Mimi sijawahi kuingia kwenda huko, tuekeze vizuri sasa.
Hata TZ tumefika mbali sana. Sina shaka kuwa hizi kumbi za haya mavitu zipo, sema wanazijua wachache. Hasahasa ndani ya jiji la Arusha, maana kule ndio nimeona night clubs za kutilia mashaka.Si mpaka upate kibali. Sitashangaa kama Kenya ipo maana wenzetu kila cha wazungu wameiga.
Si mpaka upate kibali. Sitashangaa kama Kenya ipo maana wenzetu kila cha wazungu wameiga.
Mambo yote machafu unanayajua mkuuVideo za Gwajima achana nazo. Wazungu wanakuwa na theatre kama jumba la cinema. Kitanda kinawekwa chini na mwanaum na mwanamke wanafanya tendo live.
Watu wanalipa pesa nyingi kwa show hizo na husaidia kujenga na kuimarisha ndoa.
Watu wa Dar msipoangalia mtazihitaji.
hebu wewe, uliona gazeti gani, we sema kwenye pekenyua zako zile saiti za porno ukakumbana na hayo ya live sex show. na ungepufuka machoHapana hata kwenda siwezi. Niliona kwenye gazeti wameandika. Wengi wanokwenda huko wanakua wamepoteza kabisa hisia za tendo.
Na Wewe ulivua?Hiyo niliiikuta Sydney. Underground casinos unaingia ukiwa full naked
Unamaanisha mzee wa kugwajimika alikuwa anapima upepo kama upande huo nao una soko kama ilivyo biashara ya kanisa ?Video za Gwajima achana nazo. Wazungu wanakuwa na theatre kama jumba la cinema. Kitanda kinawekwa chini na mwanaum na mwanamke wanafanya tendo live.
Watu wanalipa pesa nyingi kwa show hizo na husaidia kujenga na kuimarisha ndoa.
Watu wa Dar msipoangalia mtazihitaji.