Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,774
- 13,566
Ni sawa tu, wazungu hupenda kujifunza, tofauti na sisi huku
Myingine ni kama nyumba ya kawaida tu, humo ni members only. Wengine wanashauriwa kwenda a marriage councillor ku spice up marriage kama kuna hatari ya kuachana.
Wazungu wana vituko sana.