Live SGR Second phase launch: Morogoro-Makutupora section

Sounds funny mnajenga straight mnazindua twice, wanaojenga kwa hawamu (whatever it is) wanazindua once.
Huna unalojua zaidi ya flying toilets, kuna phases tano na kila phase inajitegemea kabisa, kila phase ni different project tunaanza kwa kutafuta pesa kwa kila phase, zikipatikana tender inatangazwa na mkandarasi akipatikana hiyo phase inazinduliwa na ujenzi unaanza. Tanzania leads the way others do copy and past.
 
Awamu ya kwanza Dar mpaka Moro unaendelea kwa kasi. [HASHTAG]#hapa kazi tu[/HASHTAG]

Huna unalojua zaidi ya flying toilets, kuna phases tano na kila phase inajitegemea kabisa, kila phase ni different project tunaanza kwa kutafuta pesa kwa kila phase, zikipatikana tender inatangazwa na mkandarasi akipatikana hiyo phase inazinduliwa na ujenzi unaanza. Tanzania leads the way others do copy and past.

Sana mkuu. Wape nondo hizo mimi nawashushia video tu.
 
I love the idea of JPM to run the phases of SGR concurrently...that he wants all the phases to be complete within a short interval of time...This is a race kenyans cn't win to reach othr landlocked countries bfore TZ.....kuna mtu ataachwa na mataruma hapa nshaona
Tushawaacha tayari Isaka to Kigali ni October construction will begin na dodoso ni two firms will construct the line in 2 years, means mpaka 2020 November train ya umeme itaanza safari.

Wakati huo Kenya bado wapo kwenye bargains za electrification Mombasa to Nairobi line.
 
Mzee reli sio ghorofa useme huwezi kujenga ghorofa ya 5 kabla ya yakwanza uliza maswali yenye logic kama hujui aina hii ya Ujenzi inaitwa simultaneously construction.
October wataanza tena Ujenzi wa Isaka to Kigali andaa maswali mengine ya kipumbavu kama haya.
Duuu...hii speed ni hatar...kwa namna hyo Dodoma to Isaka itabidi kianze fasta ili kucatch up kile cha isaka to kigali...Ndo maana yule kiongoz wa uturuki wa yapi markez alisema we r giving the best deal to Tanzania to receive more contracts frm them...n we shall provide the best SGR ever in Africa.
 
Mzee reli sio ghorofa useme huwezi kujenga ghorofa ya 5 kabla ya yakwanza uliza maswali yenye logic kama hujui aina hii ya Ujenzi inaitwa simultaneously construction.
October wataanza tena Ujenzi wa Isaka to Kigali andaa maswali mengine ya kipumbavu kama haya.

Hiyo achaneni neni naye, mngejua HATA jina alilotumia hapo msinge jaribu hata kusoma post yake HATA moja.
 
Huna unalojua zaidi ya flying toilets, kuna phases tano na kila phase inajitegemea kabisa, kila phase ni different project tunaanza kwa kutafuta pesa kwa kila phase, zikipatikana tender inatangazwa na mkandarasi akipatikana hiyo phase inazinduliwa na ujenzi unaanza. Tanzania leads the way others do copy and past.
Mzee wa copy and PAST, phase inayofuata Ni ipi na inaanza lini
 
Wakenya wenzangu huwa wanafki sana, SGR ya kenya ilianza kupangwa na kutafutiwa mfadhili mwaka wa 2010. Miaka nane sasa imepita; only 460 Km zimekamilishwa, train yenyewe ni ya diesel bado stima. JPM ameaza kazi 2016, mwaka moja na nusu baadaye kadarasi zipo na kazi inaendelea.
Kama mnataka kulinganisha upesi wa ujenzi wa SGR, Linganisha TZ SGR 2018 Na kenya SGR 2012 . Mwaka wa 2012 bado kenya hata kadarasi haikuwepo, Mifisadi ilikuwa iko busy ikiongeza fedha angalau ikule ka 10%
 
wewe ni mkenya tofauti sana unafaa sana kuwepo mahala hapa..
 
Wakenya wenzangu huwa wanafki sana, SGR ya kenya ilianza kupangwa na kutafutiwa mfadhili mwaka wa 2010. Miaka nane sasa imepita; only 460 Km zimekamilishwa, train yenyewe ni ya diesel bado stima. JPM ameaza kazi 2016, mwaka moja na nusu baadaye kadarasi zipo na kazi inaendelea.
Kama mnataka kulinganisha upesi wa ujenzi wa SGR, Linganisha TZ SGR 2018 Na kenya SGR 2012 . Mwaka wa 2012 bado kenya hata kadarasi haikuwepo, Mifisadi ilikuwa iko busy ikiongeza fedha angalau ikule ka 10%
hajibu mtu huu msuto!
 
Sawa lakini uchumi unakufa kifo cha memde!
Unakufaje wakati tunafanya uwekezaji Mkubwa namna hiyo? Tanzania ni miongoni mwa nchi tano za Afrika ambazo uchumi wake unakua kwa kasi kubwa. Tunajenga Reli ya Kisasa, tunajenga Mradi mkubwa zaidi wa kufua umeme wa maji Rifiji, Viwanda vikubwa vya Cementi vinajengwa Tanga na Mkuranga, Tunajenga barabara za lami za km nyingi tu. Cha msingi na sisi tujitume katika shughuli zetu binafsi ili kujiletea maendeleo. Maendeleo ni vita, siyo lelemama ndo maana wengine hadi wanaanzisha vita katika nchi zenye resource ili wao waende kuiba resource huko wakati nyie mkihangaika na vita. hata haya tunayofanya ya kuwekeza katika miradi mikubwa kiasi huki mapebari wa ndani na nje hawapendi. Hivyo tunapaswa kushikamana sisi walahoi.
 
Hiyo miundombinu Ethiopia wanayo kitambo sana, leo tunashuhudia wakimbizi mamia kwa maelfu vijana wa kiithiopia wanakimbia kwao, nyerere alisema uchumi mzuri ni wa watu sio wa vitu!
 
uchumi wa ethiopia sio a collective economy unlike Tanzania ambapo wakulima wanafutiwa ushuru...kilimo kinaamka xo inagusa hadi watu wa chini kabxa...thats why Tz imekuwa ya kwanza Africa for collective economy in whch ethiopia n other African countries failed
 
Sema nivyema tuwe na uchumi jumuishi. Watu na vitu. Lakini point yako bado ni nzuri. Resource number moja duniani ni watu
Most of African governments dont invest in people
 
uchumi wa ethiopia sio a collective economy unlike Tanzania ambapo wakulima wanafutiwa ushuru...kilimo kinaamka xo inagusa hadi watu wa chini kabxa...thats why Tz imekuwa ya kwanza Africa for collective economy in whch ethiopia n other African countries failed
Very true. Isiwe GDP ya kwenye makaratasi. Ilete uwarisia
 
Wakenya wenzangu huwa wanafki sana, SGR ya kenya ilianza kupangwa na kutafutiwa mfadhili mwaka wa 2010. Miaka nane sasa imepita; only 460 Km zimekamilishwa, train yenyewe ni ya diesel bado stima. JPM ameaza kazi 2016, mwaka moja na nusu baadaye kadarasi zipo na kazi inaendelea.
Kama mnataka kulinganisha upesi wa ujenzi wa SGR, Linganisha TZ SGR 2018 Na kenya SGR 2012 . Mwaka wa 2012 bado kenya hata kadarasi haikuwepo, Mifisadi ilikuwa iko busy ikiongeza fedha angalau ikule ka 10%
upo tofauti sana bro ndio maana wakenya wengi wa jf wanakuchukia.

sisi tutakulinda na kukutetea endapo itaonekana wanakupa vitisho.
 
Mzee reli sio ghorofa useme huwezi kujenga ghorofa ya 5 kabla ya yakwanza uliza maswali yenye logic kama hujui aina hii ya Ujenzi inaitwa simultaneously construction.
October wataanza tena Ujenzi wa Isaka to Kigali andaa maswali mengine ya kipumbavu kama haya.

Hajui kuwa the elongated feature, which in its construction planning every part/phase is independent. Unlike the centralised feature like a building which you can't go to Walling before you do foundation. Roofing before walling.

CC: Ngambo Ngali
 
Back
Top Bottom