M Mdondoaji JF-Expert Member Joined Mar 17, 2009 Posts 5,108 Reaction score 1,137 Nov 3, 2010 #21 Kikwete keshakuwa Rais au kaalikwa kama mwenyekiti wa CCM? Mbona hii ni kizunguzungu jamani? Anyway tunawatakia maisha mema wote
Kikwete keshakuwa Rais au kaalikwa kama mwenyekiti wa CCM? Mbona hii ni kizunguzungu jamani? Anyway tunawatakia maisha mema wote
Njowepo JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 9,710 Reaction score 2,240 Nov 3, 2010 #22 JK ameenda kwenye sherehe kama nani?
M Mapinduzi JF-Expert Member Joined Aug 23, 2008 Posts 2,418 Reaction score 98 Nov 3, 2010 Thread starter #23 Kwa mujibu wa katiba ya JMT, Kikwete ni Rais hadi Rais mwingine atakapoapishwa.