LIVE : SIMBA SC Vs MLANDEGE FC | MAPINDUZI CUP | ZANZIBAR

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Leo Saa 2:15 usiku, Mnyama Mkali Simba Sc Anashuka Uwanjani Kupekechana na Mlandege

Simba SC ambao walipata ushindi mechi ya kwanza kupepetana na Mlandege waliopata sare mech ya kwanza.

Je, Mnyama kuendeleza moto wa ushindi ama Mlandege kupata ushindi wa kwanza leo?

Lets Go…….
 
Kila la kheri Simba Fc
[emoji91][emoji91]
 
IMG_3308.jpg
 
Daaah hiki kikosi si ndo kilichochezaga na sevilla hiki kasoro sakho na kanoute tu ndo hawakuwepo?
 
Asante kwa taarifa
Leo Saa 2:15 usiku, Mnyama Mkali Simba Sc Anashuka Uwanjani Kupekechana na Mlandege

Simba SC ambao walipata ushindi mechi ya kwanza kupepetana na Mlandege waliopata sare mech ya kwanza.

Je, Mnyama kuendeleza moto wa ushindi ama Mlandege kupata ushindi wa kwanza leo?

Lets Go…….
 
Leo Saa 2:15 usiku, Mnyama Mkali Simba Sc Anashuka Uwanjani Kupekechana na Mlandege

Simba SC ambao walipata ushindi mechi ya kwanza kupepetana na Mlandege waliopata sare mech ya kwanza.

Je, Mnyama kuendeleza moto wa ushindi ama Mlandege kupata ushindi wa kwanza leo?

Lets Go…….
Kama kawa kama dawa..
giphy.gif
 
Back
Top Bottom