OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Tupo live uwanja wa taifa hapa kukuletea matangazo ya moja kwa moja ya Moira kati ya Simba Taifa kubwa na Tanzania Prison ya Mbeya
Mpaka sasa Dakika ya 42 mpira ni mkali sana na Simba inaongoza kwa bao Mbili
Updatea 43' Simba 2- Prison 0
Mpira ni mapumziko
Simba 2 magoli yakifungwa na Juma Luzio na Ajibu
Simba wameongeza goli la 3 wakati Prison bado wana 0