Live: Stars, Simba vs Wapinzani

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
17,005
Reaction score
20,425
Mliopo waliko ndugu zetu kutetea heshima ya taifa tupeni updates!!
 
Simba watakula mlungula wanarudi kariakoo kwisha kazi.
 
ebu iweke vizuri hiyo LIVE STARS alafu unaulizia tena wakupe updates , huo mpira wataonyesha Live ?
 
Watanzania tumeisha zoea kulia kila siku, hiyo mechi wala isikuumize kichwa we jiandae kupokea matokeo yoyote:
 
game ya U23 inaanza saa ngapi? tuone kama Julio ataonyesha kuwa makocha wazawa wanaweza na sio kuwa wanabahatisha.
 
game ya U23 inaanza saa ngapi? tuone kama Julio ataonyesha kuwa makocha wazawa wanaweza na sio kuwa wanabahatisha.

inaanza saa nane za kule ambayo ni sawa na saa kumi jioni hapa hme
 
Hz mechi ni saa ngapi jamani?
 
Ahaa mbona kimya! Endeleeni kutushushia vitu live. Big up wadau wote.
 
sijui kama tutachomoka wametufunga mapema kweli, mpira ni dakika 90 lakini
 
dah, haya mambo ya kulinda ili tubaki na ketu kale kamoja ndio yametuponza....kama mapema tu bao..sijui itakuaje...anyway tungoje hizo 90mins
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…