Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
Mliopo waliko ndugu zetu kutetea heshima ya taifa tupeni updates!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
game ya U23 inaanza saa ngapi? tuone kama Julio ataonyesha kuwa makocha wazawa wanaweza na sio kuwa wanabahatisha.
Ndiyo ni live hapa jf!!!ebu iweke vizuri hiyo LIVE STARS alafu unaulizia tena wakupe updates , huo mpira wataonyesha Live ?
crap craPSimba watakula mlungula wanarudi kariakoo kwisha kazi.
Ahaa ndugu mi mpaka tumbo linauma kwa mbaali!! Watani wetu siku hizi naona hata ukiwa na birthday unawaalika wanacheze bila shida!!mechi ya simba ni saa ngapi?
Asante mkuu!!sorry mechi inaanza chezwa saa 11 badp dakika 18, kuna mtandao unaweza ona matokeo ya mechi tu Live Score, Live Soccer, Basketball, NBA, Sports betting odds comparison - NowGoal.com