motema anaongoza moja bila ila simba wamekuja kwa kasi half ya pili hii.Jamani Simba vipi?
Nigeria 2 Tanzania 1
Wamepata moja au?Nigeria 2 Tanzania 1
Kwa hiyo tumetolewa.Nigeria 2 Tanzania 1
hah hah hah,nimecheka sana mkuujulio ataongea hadi povu limtoke mdomoni