Live: Stars, Simba vs Wapinzani

Live: Stars, Simba vs Wapinzani

Umakini wa defence ya Simba umepungua. Watu hawakabi kama mwanzo.
Motema wamepata nguvu sana sasa.
 
Tanzania hatuwezi fitna unajua kwa game za ugenini huwa hatuwezi kabisa kushinda kwasababu tumekua tunapenda haki sana kuliko nchi za wenzetu cha muhimu hapa tunatakiwa sasa kubadilika na sisi tuanze fitna kama nchi za wenzetu haiwezekani kabisa nyumbani tushinde then ugenini tupigwe!!!nimewakumbuka sana kina pawasa na christopher alex hawa watoto walikua wakali sana kwa fitna!

Vp DCMP Vs Simba.......Ni ngapi ngapi so far?....
 
Dah nimechanganyikiwa mpaka kumbe nimetaka ku paste result za zamani dah.
 
Full Time: NIGERIA 3 : 0 TANZANIA(Aggregate Nigeria 3 : Tanzania 1)

[TD="class: blue4, bgcolor: #FFFFFF"]90[/TD]
[TD="bgcolor: #FFFFFF"]And Nigeria has qualified for the next round. Ahmed Musa has just scored Nigeria's third on the night. In all honesty, credit must go to Ehiosun who did all the good work, holding off four defenders before teeing off for an unmarked Musa. The Venlo Man dribbles past a Tanzanian defender before rouding the keeper and smacking a non challant shot into the net.[/TD]


[TD="class: blue4, bgcolor: #FFFFFF"]90[/TD]
[TD="bgcolor: #FFFFFF"]And that represents the final action of the game.Nigeria wins 3-0 on the night and 3-1 on aggregate.[/TD]
 
Dah kweli mtaka vyote hukosa vyote Simba wanafanya nini? Bola angekuwa Simba jike ungesema Njaa yake bado ipo. Simba kazeni msuli tafuteni bao la ugenini haraka sana.
 
Simba sasa wanachezewa mtu-kati. Mashambulizi ni mengi golini kwao.
Hata mahasimu wa Motema waliokuwa wanawashangilia Simba wamekata tamaa.
Sijui Simba wamechoka? hawakimbii kama mwanzo, na ule uchu wa kulifikia goli umeyeyuka
 
Ha ha ha haaaaa hata hao wenzetu ni waja wa Mungu nao wanahitaji vilevile

Hahahaaahahah hata mie muda mwengine huwa najiuliza Mungu kwenye michezo kweli anapenda upande mmoja wote wanaomba mungu yule atayejikamuwa ndio anapata zawadi yake ya maombi.
 
Back
Top Bottom