Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Lakini this is too much jamani...yote maisha, uzuri tushazoea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini this is too much jamani...yote maisha, uzuri tushazoea
umeona kaka!
Simba sasa wanachezewa mtu-kati. Mashambulizi ni mengi golini kwao.
Hata mahasimu wa Motema waliokuwa wanawashangilia Simba wamekata tamaa.
Sijui Simba wamechoka? hawakimbii kama mwanzo, na ule uchu wa kulifikia goli umeyeyuka
Hahahaaahahah hata mie muda mwengine huwa najiuliza Mungu kwenye michezo kweli anapenda upande mmoja wote wanaomba mungu yule atayejikamuwa ndio anapata zawadi yake ya maombi.
Ahahahahaah!! Muhimu kujipa matumaini...kaka unakifua?
Anaweza akasema hivyo yule....tumelowa, kiwelu lazima aseme kuletewa mzungu ndiyo kumesababisha timu kufungwa
Wana-Simba kwakweli tusilalamike sana juu ya matokeo: kikosi chetu hakina uwezo kabisa ktk mashindano haya: Mgosi, Okwi, Nyoso, Banka, Kiemba ni dhairi wanaonekana kuchoka; ktk msimu huu wa usajiri inabodi Wajipange haswaaa
Mbona rediona nasikia wanaenda matuta!
mwezi wa nane mkuu, hata mie huwa inanisaidiaga sana mkuu, inanitoa kabisa kwenye concentration ya soka la bongoDah! Ile ya England sijui inaanza lini maana hapa ni ugonjwa wa moyo kila siku.