CPU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 3,858
- 687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.....unatafuta balaa...Simba kabon'goa! Motema kamtia d***
Yaani Simba wanaingia mpaka re-supplementary lakin wapi, wanafeli tu
Khaaa!!
Mbona ndio zao za kila siku? unadhani wanaendea nini katika mashindano makubwa kama sio ku to**waSimba kabon'goa! Motema kamtia d***
Mpira umeisha.....tujipange kwa msimu ujao!MATCH OVER, SIMBA 0, MOTEMA 2.Hivi waziri KIVULI wa Michezo ni nani?Tunataka maandamano ya usiku kudai michezo iboreshwe.
MATCH OVER, SIMBA 0, MOTEMA 2.
Hivi waziri KIVULI wa Michezo ni nani?
Tunataka maandamano ya usiku kudai michezo iboreshwe.
waende tena wakakate rufaa. wanachezewa na wacongo mbele na nyuma. hadi aibu yaani...