Zion Train
JF-Expert Member
- Jun 5, 2008
- 501
- 78
Acha Uongo Nigeria 1 Vijana Stars 0 goli limefungwa dk ya 5
mazee nilishaomba samahani kwahiyo si uongo tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha Uongo Nigeria 1 Vijana Stars 0 goli limefungwa dk ya 5
Kama wanawinga zote mbili hatari basi hatutoki,otherwise kazi wanayo.Simba wamefanya shambulizi zuri, wakabahatika kuokoa. dk ya 10, bila bila.
hyo jamaa aliituma mapemaAcha Uongo Nigeria 1 Vijana Stars 0 goli limefungwa dk ya 5
dah, haya mambo ya kulinda ili tubaki na ketu kale kamoja ndio yametuponza....kama mapema tu bao..sijui itakuaje...anyway tungoje hizo 90mins
duh!!!we dont buyKulingana na mzee wa "kamati ya ufundi" niliyemsikia siku moja kabla U23 hawajaondoka kwenda Nigeria, alisema kupitia Radio one jumatano tuozungumze michezo alimesema Kocha Kihwelo asihofu kwani mechi itaisha kwa sare ya magoli 2-2. So wabongo msihofu. Alisema hata order ya magoli yatakavyofungwa, kuwa Nigeria wataanza kufunga, then TZ watasawazisha, then Nigeria wataongeza goli na finally TZ watasawazisha na ngoma kuisha 2-2.
duh!!!we dont buy
lakini kila kitu kinawezekana na iwe hivyo
nafasi ya pili kama hii ni goli!!Simba wanakosa goli la wazi kabisa, mgosi alikuwa yeye na golikipa akafanya mbwembwe za chenga, defenda akamwahi.
Simba wanaonekana kujaribu kushambulia. bado moja-moja.
BIg Up Mkuu BaLANTANDA ...NIMEKUBALI COMMENT ZAKO KAMA VILE NIPO IN THE PTCH!!!!!!!Half Time Nigeria 1 Tanzania 0