Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Ivi kwa Tz hakuna itakayorusha live huu mpira,au ndo yale mambo ya kuogopa watu wachache kuingia uwanjani?
Ahsante sana Saint.
kila la heri wazee wa jangwani kwenye bwawa aka mafuriko..
soon tutawawekea streams za chanel za kiarabu humu:
enjoy
Ivi kwa Tz hakuna itakayorusha live huu mpira,au ndo yale mambo ya kuogopa watu wachache kuingia uwanjani?
kila la heri wazee wa jangwani kwenye bwawa aka mafuriko..
Soon tutawawekea streams za chanel za kiarabu humu:
Enjoy
Zamalek 3 yanga 1