shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,367
Mimi nimeshafika kuu naomba umuite mkeo Aje basi.
Niende wapi najiandaa kwa socker giza lishaingia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nimeshafika kuu naomba umuite mkeo Aje basi.
Sitakiiiiiii
That will be fun to watch uniite kabla hujaanza
Nimwambie nn jamani
Afwadhali wajua hilo
Ndo nimeachwa nini¿
Niende wapi najiandaa kwa socker giza lishaingia.
Love you darling
Usoniambie na mi ni dem
Kiwatengu niko nae hapa acha uzukshi
Jamani huna huruma na Mtoto wa mwanamke mwenzio? Kwani kupenda dhambi??
Wanaume siku hizi hawasemi utaona vitendo tu.
Basi yameisha ila nakuahidi nitakupeleka ktk bustani ukaone Ndege wanavyopendana wakati hawana pesa, istoshe wamependeza japo hawajui Zizzu wala Big Respect.
Jamani duniani tunapita tu, tusifanyiane roho mbaya basi, kama sitakupunguzia chochote kwanini usije kwangu leo nami nitafurahi?