shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,367
Nikiwa na wewe wala sita Zima simu yangu au kuiacha silent! Nitakupa na password zote, utakuwa na access zote za kwangu, ila Nina wivu sana japo siwezi kuthubutu hata kukupiga kofi.
Wow wewe ndio mzuri sasa. Inabidi sifa za ziada unipm okay bebito.
Nakupenda sana yaani nakuahidi nitakutoa machozi ila siyo ya huzuni bali ya furaha, welcome to my world.
Ila sasa ukumbuke nimeolewa atii. mmmh sasa sijui itakuaje?
Hivyo hivyo tu, tutajua mbele ila nitakulinda, sita kupigia simu ukiwa nae kwani akikupiga nitashindwa kuvumilia honey, haya utani save vipi ktk simu yako?
Nimeolewa humu ujue. Ana wivu mume wangu, naye ananipenda sasa nani zaidi ndio hapo.
Najua ila namimi ndiyo nishakupenda hivyo, sitakuacha peke yako mpaka muda kama huu, tutakuwa kama mapacha, plz nipe nafasi nikupe mapenzi yangu.
Kesho kigiza kikiingia nitakujibu. Mume wangu wiki yote hiyo inayokuja atakuwa busy sana.
Basi powa! Itakuwa vizuri! Ila namba yangu usiisave MCHORA. KUCHA nikigundua nitalia sana.
Powa usiku mwema. Nitasave jina zuri tu la kiume hata hilohilo lako huwa hashiki simu yangu, ananiamini sana.
Haya usiku mwema, kumbuka nakupenda sana, usisahau kuniPM asubuhi.
We Rich Pol ndo maana upati mke kazi kumendea wake za watu tu.
Last edited by a moderator: