Rich Pol
JF-Expert Member
- Oct 11, 2013
- 7,874
- 5,685
Hahahahaaa kumbe na wewe uko kutema madini huku........ lazima watu wawajibike wasipowajibika kwa hiari basi watawjibika kwa shuruti maana naona wanasahau majukumu yao kwa wapenzi wao
Mwenye mke tangu ameenda Valentine Jana na nyumba ndogo hajarudi, nachukua fursa! Ila Mtoto anaingia na kuchomoa nitamnunulia hata gari, kadi jina langu kabatini yeye aendeshe tu, si ndiyo style ya sasa?!.