Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Hahahahaaa kumbe na wewe uko kutema madini huku........ lazima watu wawajibike wasipowajibika kwa hiari basi watawjibika kwa shuruti maana naona wanasahau majukumu yao kwa wapenzi wao

Mwenye mke tangu ameenda Valentine Jana na nyumba ndogo hajarudi, nachukua fursa! Ila Mtoto anaingia na kuchomoa nitamnunulia hata gari, kadi jina langu kabatini yeye aendeshe tu, si ndiyo style ya sasa?!.
 
Usinifanye hivyo Mtoto wa mwanamke mwenzio, hata mimi ninaroho na naumia sana, angekuwa anakujari angekuwepo hapa, nakuahidi hautajuta kwangu, dakika moja sipo na wewe utaona kama mwaka.

Unatafuta kufyatuliwa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…