Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

nooo!! mimi sikusema chochote kuhusu promo!

kwanza eiyer amepigwa ban ya mwaka mzima.. unaelewa manake lakini?

Si kweli leo tu nilikuwa nachati nae kwenye thread moja ya shemeji yangu huyu ipo jukwaa la mpz....
 
Si kweli leo tu nilikuwa nachati nae kwenye thread moja ya shemeji yangu huyu ipo jukwaa la mpz....

come on rosita..! huyu jamaa kapumzishwa.. yeye huwa anakesha! sasa kwanini leo hayupo?

fikiria rosita, uko sehemu salama kabisa!
 
Hiyo ni kazi kubwa bora ungeniambia some traits naweza zisoma kupitia post na comments zako japo pia sio determinant ...but wanasema kimtokacho mtu ndicho kilichojaza moyo wake rty?

enheeee!!! kumbe unaongea na ngeli eenh? ngoja nichukue dikishonari nije!
 
come on rosita..! huyu jamaa kapumzishwa.. yeye huwa anakesha! sasa kwanini leo hayupo?

fikiria rosita, uko sehemu salama kabisa!

Ooh how am I suppose to.live without him...kesho nawasms mods wamtoe kwwnye hicho kifungo japo ckuamini sana naamini atakuwa kalala now coz kazi za shamba zinachosha.
 
Ooh how am I suppose to.live without him...kesho wanasms mods wamtoe kwwnye hicho kifungo japo ckuamini sana naamini atakuwa kalala now coz kazi.za shamba zinachosha.

mi ndo nakwambia sasa...!! eiyer kapigwa ban!

halafu sasa nikwibie siri, ukiwasumbua mods, wankuweka kifungoni mara mbili!

si unajua sheria ni msumeno eenh!?
 
mi ndo nakwambia sasa...!! eiyer kapigwa ban!

halafu sasa nikwibie siri, ukiwasumbua mods, wankuweka kifungoni mara mbili!

si unajua sheria ni msumeno eenh!?

Niko tayari....tutahamia whts na eiyer wangu...kuhusu miaka ucjali niko around robo karne I can take care of him and our coming children.
 
Niko tayari....tutahamia whts na eiyer wangu...kuhusu miaka ucjali niko around robo karne I can take care of him and our coming children.

haya mama.. kesho asubuhi ntamfungulia.. unajua kutoa like kweli?
 
haya mama.. kesho asubuhi ntamfungulia.. unajua kutoa like kweli?

hahaaaa ucangalie join date tu watu tushakomaa..najua best sema natumia simu kwenda kwenye touch kila saa ni kazi nyingine but pokea like zangu nyingi za kutoshaaaaaa.usiku mwema
 
kwani wasiwasi wako nini? hakuna foleni wala nini tena kwa taarifa yako, i'm the only man who is straight foward in this house,
so hebu ikifika jioni usogee karibu zaidi yangu uone utamu.

sasa unataka tablet au laptop?

Kumbe nikiwa sipo ndo mambo yenyewe haya lol
 
Kumbe nikiwa sipo ndo mambo yenyewe haya lol

Hee tena afadhali umerudi jirani yangu,huyu mumeo sikuhizi kaanza urafiki na yule bazaz mpya Excel Huyu jamaa sio salama kabisa siunaona mumeo nae ameanza kua na vielementi
 
Last edited by a moderator:
Hee tena afadhali umerudi jirani yangu,huyu mumeo sikuhizi kaanza urafiki na yule bazaz mpya Excel Huyu jamaa sio salama kabisa siunaona mumeo nae ameanza kua na vielementi

Naona anataka kunletea majenereta kwangu ole wake
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…