Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
Kumbe ndo unaniteta hivi huku ama kweli kikulacho kinguoni mwako,wewe si rafiki mwema tena,na hafugiki mtuInawezekana mfuniko hatukuufunga vizuri. Ngoja nikuchekeshe sasa huyo mke anayemtaka Daudi1 ni wa Excel, naye hataki kumwacha anataka mitala. Matokeo yake msukule wetu umebaki unashangaa shangaa.
Tuliwaambia sisi mbona watakesha humu. Huyu mwingine nimefunga vizuri hatoki kabisa humu kwenye chupa.