charty
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 7,460
- 5,992
usijali mtoto wa kike.
jioni hebu tukutane hapa hali ikiwa imetulia..
oky ngoja nijiandae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usijali mtoto wa kike.
jioni hebu tukutane hapa hali ikiwa imetulia..
akhaa kuwa na mtu kama ww,ni sawa na kua na ATM ya nmb foleni za misururu ya wanawake kawaida! mie bado mdogo stakii stress za kupangwa hahaa! Roger that!
Ebu tulia nikuchagulie kitu
mbona unanidhalilisha kijana?
mi nafanya kazi bure au?
Hivi nani anayetaka kumtafutia mke Rich pol? Huyo na Daudi1 ni misukule yetu mimi na Valentina. Tunawarudisha kwenye chupa hatuwatoi.
Excel na kiwatengu hamuoni kwanini siku zote hizi hawapati?
Hatoki mtu hapa.
Hivi nani anayetaka kumtafutia mke Rich pol? Huyo na Daudi1 ni misukule yetu mimi na Valentina. Tunawarudisha kwenye chupa hatuwatoi.
Excel na kiwatengu hamuoni kwanini siku zote hizi hawapati?
Hatoki mtu hapa.
Mkuu mbona sikuelewi? Mimi nipo namsubiria huyo mtalajiwa nimpe verse nifunge nae ndoa.
nimekuja laptop nnayo nataka tablet!hahakwani wasiwasi wako nini? hakuna foleni wala nini tena kwa taarifa yako, i'm the only man who is straight foward in this house,
so hebu ikifika jioni usogee karibu zaidi yangu uone utamu.
sasa unataka tablet au laptop?
Dah! mimi nishapata sijui huyo msukule wako,valentina anatamani kutoka kwenye ndoa yake kwa mapenzi niliyompa siku moja kachanganyikiwa yaani hajielewi mara ananitaka mimi mara uranHivi nani anayetaka kumtafutia mke Rich pol? Huyo na Daudi1 ni misukule yetu mimi na Valentina. Tunawarudisha kwenye chupa hatuwatoi.
Excel na kiwatengu hamuoni kwanini siku zote hizi hawapati?
Hatoki mtu hapa.
Dah! mimi nishapata sijui huyo msukule wako,valentina anatamani kutoka kwenye ndoa yake kwa mapenzi niliyompa siku moja kachanganyikiwa yaani hajielewi mara ananitaka mimi mara uran
Arudi nani nishachukua changu mapema nimemuachia uran aendelee kuleaMtarudi tu sisi ni mtakuja. wewe na huyo niliyemuweka kwenye chupa siifungui muda huu.