Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
safi sana mkuu fanya neema kwa wengine
mi namtafuta charty..nahisi huyu atakuwa anategemea computer za internet cafe.
ngoja nifanye mpango apate laptop yake mwenyewe
ili kila nitakapomwitaji hapa awepo..
ahaa kumbe mnajuana? safi sana
nikisema hapa ninachotaka kumfanyia ataona aibu,
kwa nini nifute? atajuaje kama namtafuta?
unataka kuninyongea? hapana nipe nafasi nionyeshe maufundi yangu.
ha ha ha ha ....
Nakuamini mkuu namsubiri kwa hamu, fanya mpango Aje basi.
Natangaza vita na huyo aliekutoa kwenye ile chupa
dah kweli akutukanaye akuchagulii tusi fanya mpango kabsa ili nipate tablet ili niwe natembea naye muda wote kiwatengu!safi sana mkuu fanya neema kwa wengine
mi namtafuta charty..nahisi huyu atakuwa anategemea computer za internet cafe.
ngoja nifanye mpango apate laptop yake mwenyewe
ili kila nitakapomwitaji hapa awepo..
ni kweli mkuu ila jana na leo niko tofauti kidogo,
umemwona wapi charty? namtafuta sana eti
afu wee kibabu tulia na huyo mkeo DEMBA! usiniletee miye shida nan anataka akatwe viwembe usawa huu!!! mwanamke sura makalio hata baba mkwe anayo!heheee:smile-big: