Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
jaman uran! Nauliza hviii kiwatengu yuko api jaman!? Au mkewe shansarie kamfungia?
ni kweli mkuu.. kwani aliyenyweshwa huwa anajielewa?
shabash!!
cc.. 'Valentina', Bantu lady... mlale salama!!
za saa hii mama kiwa t?
Sema tumrkumbukana unatokomraga siku hiziNimekukumbuka sana shem!
Mume wangu hana shida vitu vidogo sana hivi tunamalizana bedrumUkisikia fumanizi ndio hilo shem....Unalo!
ni kweli mkuu.. kwani aliyenyweshwa huwa anajielewa?
shabash!!
cc.. 'Valentina', Bantu lady... mlale salama!!
yes i do! Kiwatengu jaman kuja hapa mie mtoto mlain mpaka ngoz ya kisigino! Nimekuja nataka nkupe upako wa jumapili plz!... Am so sory shansarie! I want ua hubby kiwatengu, maana kila siku nimekua nkimuota hahah yeye pamoja na Excel, am sure ninawaweza woote wawili,,yes yes wonders shall never end! Plz naomba mje kusikiliza hoja yangu walengwa hapo juu!#okbye?aise, mbona atakuja tu!!
do you love him much?
mi nifungiwe ndani kwa ajili gani?
shansarie na mimi, tunaaminiana. japo kuwa kikojoleo changu kakifunga kwa codes..
charty charty charty, unajua shida ni kuwa kila
nikija hapa wewe haupo na wewe ukija huwa unanyemelea,
leo nimesikia harufu yako ile nakuja nakuta ushaondoka.
sasa sikia, ukija tena nishtue.
kiwatengu! Mie ndo nshatia timu,sikia kuhusu hzo codes mkeo alizokuwekea kwenye kikojoleo chako mie nna program ya kuz-flash! Sasa wewe ucjal njoo tufanye yetu eh!..hahah!
hahahaaaa!! nanasi.. umenigusa mpaka kwenye 360* angle! naja...!
mkuu excel i love my wife
ni kweli mkuu.. kwani aliyenyweshwa huwa anajielewa?
shabash!!
cc.. 'Valentina', Bantu lady... mlale salama!!
Ina maana gani hii Excel?
Kwamba sisi ndio wataalamu wa limbwata ama?
Sisi tunawaweka kwenye chupa hawafurukuti. Anyone anayetaka kuwekwa kwenye chupa?
Umeona mchezo eti kumwambia nampenda ikawa tabu akataka kunipa lifti gari yenyewe tinted from There amekua akinilazimisha nipande ila nimekataa
nshaandaa madikodiko...karibu ndani.....(Eiyer usione wivu tuna maombi kidogo)
Hata mti wa ubuyu ulianza kama uyoga .................!!!!!
Baba paroko
Mrembo mbona hivyo?
Mbona maneno makali yasiyokuwa hata na chembe ya huruma kwa binadanu mwenzako?
Nimekosa nini mie kwa kukuambia nakuhusudu?
Kwani nimekulazimisha wapi mrembo?
Nilikuwa nakuomba nikupe lifti hukukubali
Sasa hayo mengine yanayoumiza kama ncha ya chuma cha moto kwenye kidonda kibichi yanatoka wapi?
Mi nilikua naomba tu na wala sijafikiria kukulazimisha
Umekubali mrembo?
Hata mti wa ubuyu ulianza kama uyoga .................!!!!!